Kwa mara ya kwanza kutokea dunia wanawake sita wenye ulemavu wa ngozi ya albino wameamua kupanda mlima kilimanjaro kufika kilele cha mlima huo ambao wataupanda kwa 6takribani siku nane. wanawake hau sita wametokea sehemu tofauti afrika ikiwemo nchi ya Tanzania na kufikia kilele hiko kwa lemavu wa ngozi ikafanyika mwezi wa tisa.
Lengo la kuupanda mlima huo ni kupaza sauti zao kwa dunia kuwa hata wenye ulemavu wa ngozi nao wananweza kupambana na hali yoyote pamoja na kuwa na hali hiyo ya ulemavu wa ngozi.